• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais wa Cote d'Ivoire yaonesha kuwa Alassane Outtara ameshinda

    (GMT+08:00) 2020-11-04 09:24:35

    Matokeo ya mwanzo ya uchaguzi wa rais ya Cote d'Ivoire yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya nchi hiyo yameonesha kuwa, rais wa sasa, na mgombea wa chama tawala cha nchi hiyo RHDP Alassane Outtara, ameshinda katika uchaguzi wa rais uliofanyika tarehe 31 Oktoba. Lakini matokeo ya mwisho yatahitaji kuthibitishwa na mahakama ya kikatiba ya nchi hiyo kabla ya kutangazwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako