• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Algeria akutwa na maambukizi ya COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-11-04 09:24:57

    Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Algeria imesema, matokeo ya vipimo vya COVID-19 vya rais Abdelmadjid Tebboune yameonesha kuwa amekuwa na maambukizi ya virusi hivyo.

    Taarifa hiyo pia imesema rais Tebboune anatibiwa katika hospitali moja nchini Ujerumani, na vipimo husika vimeonesha kuwa hali yake ya afya inaendelea kuwa nzuri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako