• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makamu wa rais wa China atoa salamu za pongezi kwa mwezake wa Shelisheli

    (GMT+08:00) 2020-11-04 19:32:17

    Makamu wa rais wa China Bw. Wang Qishan ametoa salamu za pongezi kwa Bw. Ahmed Afif kwa kuwa makamu wa rais wa Shelisheli.

    Bw. Wang amesema kuwa, urafiki kati ya China na Shelisheli ni wa tangu enzi na dhahari, na ushirikiano katika sekta mbalimbali umepata mafanikio makubwa. Pande hizo mbili zimeendelea kushirikiana vizuri katika mapambano dhidi ya janga la COVID-19. Ametaka kufanya juhudi pamoja na Bw. Afif ili kuhimiza uhusiano na ushirikiano wa kirafiki kati ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako