• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pande mbili za Libya zinazopambana zakubaliana kutekeleza makuabaliano ya kusimamisha vita

    (GMT+08:00) 2020-11-04 19:32:36

    Afisa wa Umoja wa Mataifa jana alitangaza huko Ghadames, mji wa kusini wa Libya, kuwa pande mbili za Libya zinazopambana zimefikia makubaliano juu ya utekelezaji wa makubaliano ya kusimamisha vita.

    Duru ya 5 ya mazungumzo ya amani ya tume ya kijeshi ya ushirikiano ya Libya ilianza tarehe 2 nchini Libya, hii ni mara ya kwanza kwa tume hiyo kufanya mazungumzo ya amani nchini Libya. Pande hizo mbili zitaunda tume ya pamoja ya kijeshi ili kusitisha vikosi vya pande hizo mbili kurejea kwenye kambi zao na kuondoa nguvu za kijeshi za nchi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako