• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yatarajia kufanya uchaguzi wa rais Januari mwaka ujao

    (GMT+08:00) 2020-11-05 09:21:49

    Tume ya Uchaguzi nchini Uganda imetangaza kuwa uchaguzi wa rais utafanyika tarehe 14, mwezi Januari mwakani.

    Tume hiyo pia imetangaza kuwa wagombea watano kutoka vyama vya siasa akiwemo rais wa sasa wa nchi hiyo Yoweri Museveni na wagombea 6 huru watashiriki kwenye uchaguzi huo.

    Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Simon Byabakama ametoa wito kwa wagombea hao kufuata kanuni za kujikinga na COVID-19 na kuhakikisha usalama wa raia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako