• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Biden atarajiwa kushinda Jimbo la Michigan katika uchaguzi wa rais wa Marekani

    (GMT+08:00) 2020-11-05 09:23:09

    Mgombea urais kupitia chama cha Democratic nchini Marekani, Joe Biden, anatarajiwa kupata kura nyingi katika Jimbo la Michigan, ambalo lilimpatia ushindi rais wa sasa wa nchi hiyo na mgombea urais kwa kupitia chama cha Republican, Donald Trump miaka minne iliyopita.

    Shirika la Habari la NBC linaripoti kuwa, wakati asilimia 97 ya kura zilizopigwa zikihesabiwa, Biden anaongoza kwa asilimia 1.2 ya alama katika Jimbo la Michigan.

    Nacho kituo cha CNN kinasema, kwa kuwa jimbo hilo lina kura 16 za wajumbe wa majimbo, huenda Biden atapata kura 253, na hivyo kuwa na kura 40 zaidi ya Trump.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako