• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi za Afrika zaishukuru serikali ya China kwa msaada wake wa vifaa dhidi ya COVID-19 kwa wanawake, watoto na vijana

    (GMT+08:00) 2020-11-05 09:23:34

    Serikali ya China, kupitia Jumuiya ya Maendeleo ya Wake wa Marais wa nchi za Afrika, imetoa vifaa vya kupambana na COVID-19 kwa wanawake, vijana na watoto katika nchi 53 barani Afrika.

    Maofisa wa serikali za nchi Afrika na sekta mbalimbali wamesema, China imesafirisha vifaa hivyo kwa nchi 53 barani humo kwa wakati, na kuwasaidia wanawake, vijana na watoto wa huko kupambana na janga la COVID-19, jambo lililoonesha urafiki mkubwa kati ya wananchi wa pande hizo mbili. Pia wamesema, nchi mbalimbali zinatakiwa kushikilia ushirikiano na mshikamano wa pamoja ili kushinda janga hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako