• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia yatangaza kutekeleza hali ya dharura kwa miezi sita katika sehemu ya kaskazini

    (GMT+08:00) 2020-11-05 09:28:30

    Baraza la mawaziri la Ethiopia jana limetangaza kutekeleza hali ya dharura kwa miezi sita katika Jimbo la Tigray, kaskazini mwa nchi hiyo.

    Taarifa ya Baraza hilo imeeleza kuwa, vurugu zinazotokea katika jimbo hilo zinaharibu amani na usalama wa nchi, na haziwezi kudhibitiwa kwa utaratibu wa kawaida wa sheria. Pia taarifa hiyo imesema, lengo la kutekeleza hali ya dharura ni kulinda amani ya nchi, na kuhakikisha usalama wa raia, ili kuzuia vitendo vitakavyoweza kusababisha kukosekana kwa utulivu nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako