• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Namibia yafuta riba kwa 95% ya ushuru ili kuwasaidia wananchi na wafanyabiashara zinazoathirika kutokana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-11-05 09:28:51

    Wizara ya Fedha ya Namibia itafuta asilimia 95 ya riba zinazosalia, na kubatilisha adhabu zote kwa walipa kodi ambao watalipa gharama zote ndani ya miezi mitatu kuanzia Februari, mwaka 2021.

    Wizara hiyo imesema, msamaha huo unakusudia kuwasaidia raia wa Namibia na wafanyabiashara wanaokabiliwa na matatizo ya fedha kutokana na COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako