• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisa wa IMF asema mageuzi ya kimuundo yatasaidia kuimarisha uchumi wa China

    (GMT+08:00) 2020-11-05 09:29:34

    Naibu mkurugenzi mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Jeffrey Okamoto amesema, uchumi wa China unafufuka kwa kasi kutoka kwa maambukizi ya virusi vya Corona, na kuhimiza mageuzi ya kimuundo kutasaidia kuimarisha uchumi wa China, na ongezeko la uchumi shirikishi. Okamoto amesema hayo baada ya kikundi cha kazi cha IMF kufanya majadiliano kwa njia ya video na China kuhusu Kifungu cha Nne cha kanuni ya IMF kwa mwaka huu yaliyofanyika kuanzia tarehe 26 Oktoba hadi tarehe 4 Novemba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako