• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ufufukaji wa uchumi wa Umoja wa Ulaya watarajiwa kuwa taratibu zaidi kuliko ulivyokadiriwa hapo awali

    (GMT+08:00) 2020-11-05 09:29:56

    Makamu wa rais wa Kamati ya Umoja wa Ulaya Valdis Dombrovskis amesema, kutokana na wimbi la pili la mlipuko wa virusi vya Corona, ufufukaji wa uchumi wa nchi wanachama wa Umoja huo unatarajiwa kuwa taratibu zaidi kuliko ilivyotarajiwa awali. Amesema hayo baada ya mawaziri wa uchumi wa fedha wa Umoja huo kufanya mkutano kwa njia ya video kujadili ufufukaji wa uchumi wa bara hilo wakati hatua kali za kuzuia wimbi la pili wa maambukizi ya virusi zikiongezeka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako