• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mamlaka ya Mapato ya Rwanda yashindwa kufikia lengo la ukusanyaji kodi kutokana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-11-05 16:12:27

    Mamlaka ya Mapato ya Rwanda RRA imeshindwa kufikia lengo lake la kukusanya kodi katika mwaka wa fedha wa 2019/20 kutokana na janga la COVID-19.

    Akiongea kwenye uzinduzi wa mwezi wa kuwashukuru walipa kodi, kwa lengo la kuhamasisha watu kulipa kodi, Mkuu wa RRA Pascal Bizimana Ruganintwali amesema mapato ya kodi na yasiyo ya kodi yaliyokusanywa katika mwaka wa fedha wa 2019/20 yalikuwa dola bilioni 1.55 za kimarekani ambazo ni sawa na asilimia 95.4 ya lengo la awali ambalo ni dola bilioni 1.63 za kimarekani. Pia amesema ukusanyaji wa kodi uliofanywa na serikali ulipungua na kufikia asilimia 90.8 ya lengo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako