• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • AfDB kuikopesha Morocco fedha za kupambana na Corona

    (GMT+08:00) 2020-11-05 19:21:43

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) itakopesha Morocco dola milioni 118 za Kimarekani kuimarisha vita dhidi ya virusi vya corona.

    AfDB imesema mkopo huo utaelekezwa kwenye uboreshaji wa mfumo wa afya kwa kuongeza miundo mbinu ya kuwazala wagonjwa.

    Pia chini ya mkopo huo vyumba78 vya dharura vya hospitali vitaboreshwa, na na kuongea vifaa vya upimaji na dawa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako