• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makampuni mengi yanayoshiriki CIIE yaweka miadi kwa maonyesho ya mwaka kesho

    (GMT+08:00) 2020-11-06 09:02:07

    Makampuni mengi yanayoshiriki Maonesho ya 3 ya Kimataifa ya Uagizaji wa Bidhaa kutoka Nje ya China (CIIE) yamejiandikisha kushiriki katika maonyesho hayo mwakani.

    Mkurugenzi wa Idara ya kitaifa ya maonyesho hayo Bw. Wang Bingnan amesema, katika siku ya kwanza ya maonyesho hayo mwaka huu, makampuni 29 yamejisajili kushiriki Maonyesho ya 4 yatakayofanyika mwaka kesho.

    Amesema, kabla ya kuanza kwa maonyesho ya mwaka huu, makampuni karibu 100 yamesaini mkataba na idara hiyo kuhudhuria maonyesho ya miaka mitatu ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako