• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ripoti yaema utulivu wa Afrika wavutia uwekezaji licha ya migogoro iliyopo duniani

    (GMT+08:00) 2020-11-06 09:04:57

    Ripoti iliyotolewa na Kampuni ya Usimamizi wa Fedha ya Jersey ya Afrika Kusini imesema, kubadilika kwa siasa za kijiografia kunalifanya bara la Afrika kuwa na mvuto mkubwa kwa wawekezaji.

    Ripoti hiyo iliyotolewa jana Alhamis imesema, kutokana na mtazamo wa Kimagharibi, kuongezeka kwa utulivu wa kisiasa katika nchi nyingi za Afrika, fursa za uwekezaji katika bara hilo hazionekani kuwa tishio kubwa.

    Ripoti hiyo pia imesema, mlipuko wa virusi vya Corona umerudisha nyuma mambo mengi yaliyofanyika katika bara hilo, na kuongeza kuwa, huenda kukatokea mgogoro mkubwa wa kiuchumi hata kama mitaji ikianza kutolewa ili kuchochea ufufukaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako