• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Algeria yaahidi kununua chanjo ya COVID-19 bila ya kujali bei yake

    (GMT+08:00) 2020-11-06 09:05:36

    Waziri wa Afya wa Algeria Abderrahmane Bendouzid amesema nchi yake imeamua kupata chanjo dhidi ya COVID-19 bila ya kujali bei yake.

    Bw. Bendouzid amesema Algeria na nchi nyingine zimejiunga na Mpango wa COVAX, ili kuhakikisha usalama wa raia wake kupitia matumizi ya chanjo dhidi ya COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako