• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza Kuu la UM laamua kufanya mkutano kuhusu COVID-19 mwanzoni mwa Desemba

    (GMT+08:00) 2020-11-06 09:06:34

    Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) umeamua kuwa, mkutano maalumu wa kuhamasisha ushirikiano wa kimataifa katika kukabiliana na Janga la COVID-19 utafanyika tarehe 3 na 4 Desemba.

    Rais wa mkutano huo wa 75 Volkan Bozkir amesema, mkutano huo kuhusu janga la virusi vya Corona ni wakati wa kihistoria na ni mtihani kwa utaratibu wa pande nyingi. Amesema ni muhimu kwa mkutano huo kutoa jukwaa jumuishi ambalo lina uwezo wa kusikia na kukabiliana na wasiwasi wa nchi wanachama na wadau wengine wanaoendeleza chanjo dhidi ya virusi hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako