• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hatua ya kufungwa kwa mwezi mmoja kwa Uingereza kumalizika Desemba 2

    (GMT+08:00) 2020-11-06 09:07:00

    Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema hatua ya kufungwa kwa mwezi mmoja kwa Uingereza ambayo imeanza kutekelezwa mapema jana itamalizika Desemba 2.

    Johnson amesema ushauri alioupata umeonesha kuwa, kufungwa kwa wiki nne kunatosha kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona nchini humo, na kuiwezesha sikukuu ya Krismasi kufanyika kama kawaida.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako