• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China ampongeza rais Magufuli kuchanguliwa tena kuwa rais wa Tanzania

    (GMT+08:00) 2020-11-06 09:23:54

    Rais Xi Jinping wa China jana amempigia simu rais John Pombe Magufuli wa Tanzania, na kumpongeza kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa Tanzania.

    Rais Xi amesema, China na Tanzania zimeungana mkono na kusaidiana kwenye mapambano dhidi ya janga la COVID-19. Amesema anatilia maanani maendeleo ya uhusiano kati ya China na Tanzania, na anapenda kushirikiana na rais Magufuli kuhimiza zaidi uhusiano wa kiwenzi na ushirikiano wa pande zote kati ya China na Tanzania, na kuwanufaisha zaidi nchi hizo mbili na wananchi wao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako