• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yakadiriwa kuvutia uwekezaji wa nje wa dola za kimarekani bilioni 690 kwenye kipindi cha mpango wa 13 wa maendeleo ya miaka 5

    (GMT+08:00) 2020-11-06 09:24:20

    Wizara ya biashara ya China jana imetoa ripoti ikisema, katika kipindi cha Mpango wa 13 wa Maendeleo ya Miaka 5 kuanzia mwaka 2016 hadi 2020, China imekadiriwa kuvutia uwekezaji wa nje wa dola za kimarekani bilioni 690.

    Mkurugenzi wa idara ya uwekezaji wa nje katika wizara hiyo Bw. Zong Changqing amesema, mwaka 2019 uwekezaji wa nje uliovutiwa na China umechukua asilimia 9.2 kwenye uwekezaji wa kigeni wa moja kwa moja duniani, na kiwango hicho kwa mwaka 2015 kilikuwa asilimia 6.6, pia kiwango hicho kwa mwaka huu kinatarajiwa kuongezeka zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako