• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atoa salamu za pole kwa mwezanke wa Algeria aliyeambukizwa virusi vya corona

    (GMT+08:00) 2020-11-06 18:50:13

    Rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za pole kwa mwenzake wa Algeria Abdelmadjid Tebboune, ambaye ameambukizwa virusi vya corona.

    Kwenye salamu zake rais Xi amemtakia rais Tebboune kupata nafuu mapema.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako