• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Janga la COVID-19 lazuia sana huduma za matibabu ya kimsingi barani Afrika

    (GMT+08:00) 2020-11-06 18:57:14

    Idara ya Shirika la Afya Duniani barani Afrika imesema kuwa, janga la COVID-19 limezuia huduma za matibabu ya kimsingi katika Afrika.

    Miongoni mwa nchi 13 zilizochunguzwa, kiwango cha huduma ya matibabu kilipungua dhahiri kuliko miaka 2 iliyopita. Habari zinasema, nchi zisizopungua 15 za Afrika ziliahirisha shughuli za kupiga chanjo ya ugonjwa wa surua, homa ya manjano na polio mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako