• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatimiza kwa makini ahadi za urithi wa dunia

    (GMT+08:00) 2020-11-06 19:58:10

    Ripoti iliyotolewa na Kituo cha Mali za Urithi za Utamaduni Duniani cha Taasisi ya Utafiti wa Mali za Urithi za Utamaduni ya China kuhusu kazi za kuhifadhi mali hizo nchini China za mwaka 2019 imesema, zaidi ya asilimia 99 ya ahadi 726 zilizotolewa na China katika kuhifadhi mali za urithi za utamaduni duniani zinatimizwa kwa mpango.

    Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka jana, kazi hizo nchini China zimefuata kwa makini kanuni za azimio la mali za urithi za utamaduni duniani na kutekeleza majukumu ya nchi mwanachama ya azimio hilo ili kulinda kwa ufanisi na kusimamia mali hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako