• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Trump huenda kutambua matokeo ya uchaguzi mkuu

    (GMT+08:00) 2020-11-09 09:13:32

    Shirika la habari la FOX nchini Marekani limesema, kama pingamizi iliyotolewa na rais Donald Trump wa Marekani juu ya matokeo ya uchaguzi mkuu ikishindwa, na matokeo ya hivi sasa hayawezi kubadilika, basi atatambua matokeo hayo na kukabidhi mamlaka kwa utulivu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako