• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Majambazi kadhaa wathibitishwa kuuawa kwenye shambulizi la anga

    (GMT+08:00) 2020-11-09 09:14:16

    Jeshi la Nigeria jana lilithibitisha kuwa, majambazi kadhaa wameuawa kwenye shambulizi la anga katika jimbo la Kaduna, Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo. Msemaji wa jeshi la Nigeria Bw. John Enenche amesema, helikopta ya kijeshi ilikuwa imewagundua majambazi hao kwenye msitu wa eneo la Kuzo la jimbo hilo, lakini hakutaja idadi kamili ya majambazi waliouawa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako