• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya maambukizi ya COVID-19 duniani yazidi milioni 50

    (GMT+08:00) 2020-11-09 09:14:41

    Takwimu zilizotolewa jana na Chuo Kiuu cha John Hopkins nchini Marekani zimeonesha kuwa, hadi kufikia saa 1 na dakika 24 jioni kwa saa za Afrika Mashariki, idadi ya jumla ya maambukizi ya COVID-19 duniani imezidi 5000, na idadi ya vifo vinavyotokana na janga hilo imefikia 1,253,110. Takwimu pia zimeonesha kuwa, idadi hiyo inaendelea kupanda juu kwa haraka duniani, huku Marekani ni nchi yenye idadi kubwa zaidi ya maambukizi na vifo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako