• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na wajumbe maalumu wa kidiplomasia wa ASEAN

    (GMT+08:00) 2020-11-09 09:15:04

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana hapa Beijing alikutana na wajumbe maalumu wa kidiplomasia wa Umoja wa nchi za Asia Kusini Mashariki (ASEAN). Bw. Wang amesema China na umoja wa ASEAN zinatakiwa kuimarisha imani na mshikamano, na kufanya juhudi kwa pamoja ili kuhimiza utulivu na ustawi wa kikanda. Pia amesema China inapenda kuendelea kushirikiana pamoja na nchi za ASEAN kwenye mapambano dhidi ya COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako