• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping atoa salamu za pongezi kwa rais Alpha Conde wa Guinea

    (GMT+08:00) 2020-11-09 21:04:11

    Rais Xi Jinping wa China leo ametoa salamu za pongezi kwa Bw. Alpha Conde ambaye amechaguliwa tena kuwa rais wa Guinea.

    Rais Xi amesisitiza kuwa, China na Guinea ni marafiki na ndugu wa dhati na kuaminiana. Amesema anazingatia sana maendeleo ya uhusiano kati ya China na Guinea, na kuthamini urafiki wa jadi kati ya nchi hizo mbili. Amsema anapenda kushirikiana na rais Conde katika kuzidisha ushirikiano wa kunufaishana, kuhimiza uhusiano wa wenzi wa kimkakati wa pande zote kati ya nchi hizo mbili kupata maendeleo makubwa zaidi, na kunufaisha nchi hizo mbili na watu wao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako