• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya maambukizi ya COVID-19 nchini Marekani yazidi milioni 10

    (GMT+08:00) 2020-11-10 09:23:33

    Kulingana na Kituo cha Sayansi ya Mifumo na Uhandisi kwenye Chuo kikuu cha John Hopkins cha Marekani, idadi ya jumla ya maambukizi ya COVID-19 nchini Marekani Jumatatu imezidi milioni 10. Hadi kufikia sasa, Marekani bado ni nchi inayoathiriwa zaidi na janga hilo duniani, na ina idadi kubwa zaidi ya maambukizi na vifo, ambayo imechukua karibu asilimia 20 kwenye idadi ya maambukizi na vifo duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako