• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Ulaya waongeza ushuru wa bidhaa za Marekani

    (GMT+08:00) 2020-11-10 09:23:54

    Ili kulipizia kisasi hatua ya serikali ya Marekani kutoa msaada usio halali kwa kampuni ya utengenezaji ndege ya Boeing, Umoja wa Ulaya Jumatatu umetangaza kuchukua hatua dhidi ya mauzo ya nje ya Marekani kwa kuongeza ushuru wa bidhaa zinazosafirishwa na Marekani zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 4, ambazo ni pamoja na vipuri vya ndege, mazao ya kilimo na bidhaa za viwandani. Hatua hizo zitaanza kutekelezwa kuanzia tarehe 10 mwezi Novemba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako