• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Helikopta ya Russia yaanguka baada ya kushambuliwa kimakosa kwenye mpaka kati ya Armenia na Azerbaijan

    (GMT+08:00) 2020-11-10 09:24:54

    Wizara ya ulinzi ya Russia jana ilithibitisha kuwa, helikopta moja ya MIG-24 ya Russia ilipigwa kombora na kuanguka mpakani mwa Armenia na Azerbaijan, na kusababisha vifo vya wafanyakazi wawili wa helikopta hiyo na mwegine mmoja kujeruhiwa. Wizara ya mambo ya nje ya Azerbaijan imekiri kuwa helikopta hiyo ilishambuliwa kimakosa na jeshi la Azerbaijan, na kuiomba msamaha Russia juu ya ajali hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako