• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa asisitiza haja ya kuharakisha kupunguza utoaji wa Kaboni

    (GMT+08:00) 2020-11-10 09:25:12

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres Jumatatu alisisitza haja ya kuharakisha kupunguza utoaji wa Kaboni. Amesema ingawa serikali na kampuni nyingi ziliahidi kutimiza lengo la kupunguza utoaji wa Kaboni kabla ya mwaka 2050, lakini dunia bado iko mbali sana na lengo hilo. Amesema Umoja wa Ulaya, Japan na Korea Kusini pamoja na nchi nyingine 110 zimetoa ahadi, na China itajiunga nao ifikapo mwaka 2060.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako