• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatimiza lengo la mwaka la kuwasaidia watu maskini kwa njia ya kununua bidhaa na huduma zao

    (GMT+08:00) 2020-11-10 18:34:09

    Habari kutoka ofisi ya kupunguza umaskini ya baraza la serikali ya China, zinasema hadi kufikia tarehe 31 Oktoba bidhaa za aina 136,130 zimethibitishwa kwenye mpango wa kuwasaidia watu maskini katika mikoa 22 ya kati na magharibi mwa China, ambazo zimeuzwa kwa thamani ya yuan bilioni 227.665, ikiwa ni sawa na dola za kimarekani bilioni 34.45, kiasi ambacho kimetimiza lengo lake la mwaka la kuuza bidhaa zenye yuan bilioni 200.

    Takwimu zinaonyesha kuwa hadi kufikia tarehe 31 Oktoba, nguvukazi ya watu milioni 2.99 kutoka wilaya 52 maskini zinazopewa kipaumbele walikwenda nje ya maskani yao kufanya kazi, idadi ambayo imeongezeka kwa asilimia 17.72 kuliko mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako