• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UM wafuatilia hali ya Tanzania baada ya uchaguzi mkuu

    (GMT+08:00) 2020-11-11 09:31:41

    Kamishna wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu Bibi Michelle Bachelet jana alieleza wasiwasi wake juu ya vitendo vya kutishiwa na kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa upinzani Tanzania baada ya uchaguzi mkuu, akiisisitiza serikali ya Tanzania kuhakikisha kila mtu ana uhuru wa kueleza kutoridhika na kutoa madai yao bila ya hofu ya kulipiziwa kisasi.

    Habari zinasema, kuanzia tarehe 27 mwezi Oktoba, viongozi na wanachama wasiopungua 150 walikamatwa Tanzania bara na Visiwani. Ingawa watu wengi waliachiliwa huru, lakini hadi sasa bado watu 18 wanashikiliwa ndani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako