• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa UM atoa mwito wa kuimarisha ushirikiano na SCO katika kukabiliana na suala la hali ya hewa na mivutano ya kijiografia

    (GMT+08:00) 2020-11-11 09:36:09

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres ametoa mwito wa kuimarisha ushirikiano na Shirika la Ushirikiano la Shanghai (SCO) katika kukabiliana na suala la hali ya hewa na mivutano ya kijiografia wakati wa janga la COVID-19. Pia amesema mawasiliano ya mara kwa mara kati ya Umoja wa Mataifa na shirika la SCO yameongeza njia ya kuimarisha ushirikiano kati yao kwenye masuala ya kikanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako