• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi wanachama wa SCO zachukua hatua za pamoja ili kuhimiza ushirikiano wa kiuchumi

    (GMT+08:00) 2020-11-11 09:36:26

    Rais Vladimir Putin wa Russia jana alitangaza kuwa Shirika la Ushirikiano la Shanghai (SCO) limechukua hatua mfululizo za pamoja ili kushinda mienendo mibaya kwenye ushirikiano wa kiuchumi iliyosababishwa na janga la COVID-19. Amesema hatua hizo zitaboresha ushirikiano wa kibiashara, na kuimarisha uhusiano kwenye uwekezaji, fedha na benki, nishati, uchukuzi, na sekta nyingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako