• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Ufaransa alitaka bara la Ulaya lichukue hatua ili kukabiliana na matishio ya kigaidi

    (GMT+08:00) 2020-11-11 09:36:51

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa jana alifanya mazungumzo na waziri mkuu wa Austria Bw. Sebastian Kurz ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa, na baadaye kufanya mkutano kwa njia ya video na chansela wa Ujerumani Bi. Angela Merkel, waziri mkuu wa Uholanzi Bw. Mark Rutte, na wakuu wa Umoja wa Ulaya, ambapo wametoa mwito wa kuifanyia mageuzi sera ya mipaka ya eneo la Schengen, kupinga ugaidi wa mtandao wa Internet, na kuimarisha usimamizi dhidi ya watu wenye msimamo mkali wa kidini, ili kukabiliana na matishio ya kigaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako