• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pande nyingi zapendekeza kurudisha majaribo ya chanjo ya COVID-19 nchini Brazil

    (GMT+08:00) 2020-11-11 09:37:13

    Baada ya kusitishwa kwa majaribo ya chanjo ya Coronavac iliyotengenezwa kwa pamoja na Kampuni ya SINOVAC ya Beijing na Taasisi ya BUTANTA ya Brazil kutokana na kifo cha mtu mmoja aliyejitolea, wizara ya afya ya Brazil na tume huru ya uchunguzi ya kimataifa zimependekeza kurudisha majaribio hayo, kwani ripoti iliyotolewa karibuni na polisi imeonesha kuwa, mtu huyo alijitoa uhai yeye mwenyewe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako