• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo cha habari cha CMG kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 30 tangu kuendeleza eneo la Pudong mjini Shanghai chazinduliwa

    (GMT+08:00) 2020-11-11 19:04:47

    Kituo cha habari cha CMG kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 30 tangu eneo la Pudong la mji wa Shanghai liendelezwe na kufungua mlango kwa nje, kilizinduliwa rasmi jana katika makao makuu ya CMG mjini Shanghai.

    Mkuu wa Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG Bw. Shen Haixiong jana aliwatembelea wafanyakazi wa CMG, kukagua na kutoa maelekezo kuhusu maandalizi ya kazi za kutangaza maadhimisho ya miaka 30 tangu kufungua mlango na kuendelezwa kwa Pudong, na kuchunguza na kupanga kazi husika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako