• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Walinzi amani wa China wachangia vifaa vya kupambana na COVID-19 kwa polisi wa Sudan Kusini

    (GMT+08:00) 2020-11-12 09:17:52

    Ubalozi wa China nchini Sudan Kusini ulisema kuwa, askari wa kulinda amani wa China jana walichangia vifaa vya kusaidia polisi wa mkoa wa Ikweta ya Kati kupambana na janga la COVID-19.

    Polisi wa China kwenye Umoja wa Mataifa UNPOL wanaofanya kazi katika Tume ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS pia walieleza uzoefu wao katika kupunguza janga hilo.

    Kamishna wa polisi wa mkoa huo Monydhang Deng Kuo alishukuru kwa misaada hiyo na pia kusifu misaada na uungaji mkono uliotolewa na polisi wa China kwa ajili ya kuwajengea uwezo polisi wa mkoa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako