• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jimbo la Georgia nchini Marekani kuhesabu upya kura za uchaguzi wa rais

    (GMT+08:00) 2020-11-12 09:34:00

    Ofisa anayeshughulikia mambo ya uchaguzi katika jimbo la Georgia nchini Marekani Brad Raffensperger jana alitangaza kuwa, jimbo hilo litahesabu upya kwa mkono kura za uchaguzi wa rais. Kulingana na Shirika la Habari la NBC Marekani, mgombeaji kwa tiketi ya chama cha Democratic Joe Biden anaongoza dhidi ya Rais Donald Trump kwa zaidi ya kura 14,000 kati ya kura milioni 5 zilizopigwa jimboni humo. Raffensperger amesema jimbo hilo litakamilisha hesabu kwa wakati ili kuhakikisha matokeo ya uchaguzi yanathibitishwa ifikapo tarehe 20 mwezi Novemba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako