• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaunga mkono kurudi nyumbani kwa wakimbizi wa Syria

    (GMT+08:00) 2020-11-12 09:34:49

    Balozi wa China nchini Syria Bw. Feng Biao jana alisema, China inaunga mkono kurudi nyumbani kwa wakimbizi wa Syria. Amesema hayo kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Wakimbizi huko Damascus unaolenga kuhimiza wakimbizi wa Syria kurudi nyumbani. Balozi Feng amesema China itashirikiana na jumuiya ya kimataifa kuisaidia Syria kutimiza lengo hilo na kutoa msaada wote kwa ajili ya kurudi nyumbani kwa wakimbizi wa Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako