• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia na Uturuki kusimamia kwa pamoja usitishaji wa mapambano huko Nagorno-Karabakh

    (GMT+08:00) 2020-11-12 09:36:34

    Mawaziri wa ulinzi wa Russia na Uturuki jana walisaini makubaliano ya kuanzisha kituo cha pamoja cha kusimamia usitishaji wa mapambano kati ya Azerbaijan na Armenia kwenye eneo la Nagorno-Karabakh. Kituo hicho kitakachowekwa nchini Azerbaijan kitakusanya na kuthitibisha habari kuhusu hali ya usitishaji wa vita kwa pande husika na vitendo vigine vinavyokiuka makubaliano yaliyofikiwa na Azerbaijan, Armenia na Russia Jumatatu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako