• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi mbalimbali zatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kujenga mazingira mazuri kwa wakimbizi wa Syria kurudi nyumbani

    (GMT+08:00) 2020-11-12 17:38:15

    Mkutano kuhusu wakimbizi wa Syria kurudi nyumbani ulifanyika jana mjini Damascus. Wajumbe wa nchi mbalimbali wametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuongeza ushirikiano na kuweka mazingira mazuri kwa wakimbizi wa Syria kurudi nyumbani.

    Mkurugenzi wa kituo cha uratibu cha Russia kwa ajili ya wakimbizi wa Syria kurudi nyumbani Bw. Mikhail Mezentsev amesema, jumuiya ya kimataifa inapaswa kushirikiana, kuongeza uratibu na kuondoa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Syria.

    Habari zinasema wajumbe kutoka nchi 27 na mashirika 12 ya kimataifa walishiriki kwenye mkutano huo wa siku mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako