• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa waeleza wasiwasi juu ya raia wa kawaida wa Tigray nchini Ethopia

    (GMT+08:00) 2020-11-13 09:41:15

    Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Stephane Dujarric jana alisema, Umoja wa Mataifa na washirika wake wa kibinadamu wana wasiwasi kuhusu ulinzi wa raia kwenye eneo la mgogoro la Tigray nchini Ethiopia, ikiwa miongoni mwa hatari zilizopo mkoani humo. Amesema umoja huo pia una wasiwasi kuhusu idadi kubwa ya Waethiopia walioingia nchini Sudan kwa ajili ya kutafuta hifadhi kutokana na kuogopa uadui au mashambulizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako