• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yasema pande mbalimbali zitanufaika na usitishaji wa mapambano huko Nagorno-Karabakh

    (GMT+08:00) 2020-11-13 09:41:34

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia Bw. Sergei Lavorv jana alisema, watu wote watanufaika kama pande zote za mgogoro za Nagorno-Karabakh zikifuata makubaliano ya usitishaji wa mapambano. Ameongeza kuwa kurejesha uhusiano wa kiuchumi, mawasiliano na uchukuzi kwenye eneo hilo ni muhimu kwaajili ya kufufuka kwa uchumi wa Armenia ulioathiriwa vibaya zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako