• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Utafiti wa Uingereza waonesha kuwa watu weusi na waasia wako kwenye hatari kubwa ya kuambukizwa virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-11-13 09:42:35

    Baada ya kufanya uchambuzi kwenye tafiti 50 nchini Uingereza na Marekani zinazohusu wagonjwa karibu milioni 19 wa virusi vya Corona, watafiti wa vyuo vikuu vya Leicester na Nottingham wamegundua kuwa, watu weusi wana uwezekano wa kuambukizwa virusi vya Corona mara dufu kuliko watu weupe, na waasia wana uwezekano wa kuambukizwa kwa mara moja na nusu zaidi kuliko watu weupe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako