• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuanzisha Chuo cha vielelezo cha Confucius kitakachofundisha lugha ya kichina na ufundi wa kikazi
    China inatarajiwa kuanzisha Chuo cha vielelezo cha Confucius kitakachofundisha lugha ya Kichina pamoja na ufundi wa kikazi ili kupata ajira ya kumudu maisha, ili kukifanya Chuo hicho kiwe na umaalumu mkubwa na kiwango cha juu cha mawasiliano ya kiutamaduni.
    Idadi ya wanafunzi wa vyuo vya Confucius yafikia laki 8.5 duniani
    Mkutano wa 8 wa Vyuo vya Confucius duniani umefanyika hivi karibuni mjini Beijing, ambapo wajumbe elfu 2 wa vyuo zaidi ya 400 vya Confucius kutoka nchi 110 duniani wamehudhuria mkutano huo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako