• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • DJ Mosy

    (GMT+08:00) 2010-01-05 16:06:25

    Kama kipaji na utaalamu vingekuwa na jina lingine basi ingekuwa ni DJ MOSY ama Emanuel Moses Onasaa. Ni mzaliwa wa Africa ya mashariki mjini Dar es salaam nchini Tanzania.

    Bali ya kuwa na vipaji vingi Kijana huyu pia ni muwajibikaji sana katika kazi zake za usanii.

    Alipenda muziki tokea akiwa na umri mdogo na kumpelekea kujifunza zaidi kuhusu maswala ya muziki . Anaamini kwamba muziki ndio unaotufanya kufanikisha malengo yetu mengi kwenye maisha. Kwani muziki unatuburudisha, unatuliwaza, unatuelimisha, na pia unaweza kutuonya kwa yajayo.

    Na ndio maana yupo kukuletea kile kitakacho uburudisha moyo wako. Akiwa mitamboni hapa Radio chinia kimataifa kazi yake ni moja tuu, kuhakikisha unaburudika na kuelimika na yanyoendelea katika ulimwengu wa muziki.

    Kutana naye katika CHECHE ZETU moja kwa moja kutoka hapa Beijing CHINA kupitia idhaa yako ya Kiswahili ya Redio China Kimataifa. Pia kwa kujua mengi zaidi kuhusu yeye unaweza temebelea www.djmosy.com

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako