
Hapo tupo kwenye tawi moja la Bank ya ICBC ya hapa Wuhan China tukifundishwa jinsi ya kupata huduma kwenye Bank hiyo hapo nipo na kijana toka Malawi anaitwa Lika na huyo binti wa kichina ndie alikuwa anatupa somo.
| © China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |